Nimetoa maisha yangu kwake
Hongera!
Ninayo furaha kwamba umeomba na kumuomba Yesu kuwa Mfalme wa moyo wako. Huu ni mwanzo mzuri na wa kuvutia kwako. Najua itachukua ujasiri mwigi na imani kidogo, lakini Mungu amesikia maombi yako.
Na kwakuwa umemwalika Yesu kuwa Bwana wako, sasa atakupa mwelekeo, ulinzi, faraja na amani. Kusudi lake sasa litaanza kuishi katika maisha yako kwa kadri utavokuwa naye kila siku. Mawingu yanakwenda kuonekana ya bluu, na majani ya kijani.Na utakapokuwa na matatizo, utakimbilia kwake katika maombi.
Hebu tupitie Biblia isemavyo tunavyoweza kufahamu tunakwenda mbinguni.
Nina iita KATs:
Kubali nimetenda isivostahili.Mimi ni mwenye dhambi.Na Mungu hawezi kuruhusu dhambi hata iwe ndogo kuingia mbinguni, au haiwezi kuwa mbinguni.
Amini ndani ya moyo wangu kwamba Yesu halisi alikuja kufa kwaajili ya dhambi zangu, na akafufuka, kuthibitisha alikuwa chambo kweli. Tubu dhambi zngu na uombe msamaha wake.
Kuwa tayari kubadilika kutoka katika dhambi yoyote kwa msaada wa Mungu. Kiri kwamba Yesu ni Bwana na Mwokozi… Bosi wangu.
Kama sasa ujuavyo,Huwezi kusafisha maisha yako kabla hujaja kwa Mungu.Unapaswa kuja kama jinsi ulivo. Hana nia na usafi wetu au matendo mema, kwasababu yeye hakutenda dhambi.Anatualika tupate kusamehewa na kuwa huru!
Na hivo, ninabashiri maombi uliyoomba yamekuwa kama haya:
“Yesu wa Upendo,
Nakubli nimetenda kinyume, na kwahivo mimi ni mwenye dhambi. Naomba msamaha wa dhambi zangu. Naamini ulikufa kwaajili yangu na ulifufuka. Hivo naungama dhambi zangu kwako. Nisamehe, na nipe mwanzo mpya. Nakuomba uwe Bosi na Bwana wa moyo wangu. Nisaidie sasa niishi kwaajili yako. Asante kwa pendo lako kuu na msamaha. Nimeomba haya katika jina la Yesu… amina!”
Na kama umemaanisha maombi hayo kutoka moyoni, basi Mungu amekusikia. Amekusamehe katika matendo yako yote ya dhambi uliyowahi kuyatenda. Haijalishi dhambi zako zilikuwa kubwa au ndogo, zimesamehewa. Na sasa una mwanzo mpya… tiketi safi!
Na hapa ni jinsi unavoweza kuutunza upendo wa Mungu kwa uimara: :
Soma Biblia yako na omba kilasiku. Ningelipenda kukutia moyo kuanza kusoma kitabu cha mtakatifu Yohana. Kitakuelezea yote kumhusu Yesu na jinsi alivo mwema kwako. Na maombi ni kuzungumza na Mungu kirahisi zaidi. Mshukuru kwa mambo mema katika maisha yako, na muombe hekima upitiapo magumu katika maisha.
Tafuta kanisa la kusali ambalo linaamini Biblia ni kweli, na kuhubiri kuhusu kumjua Yesu kama ambavyo sasa unatenda. Kama unahitaji msaada, nitumie ujumbe nami ntakusaidiaBatizwa kwa maji. Utakusaidia kuweka chapa moyoni mwako na kuwa imara na kjitoa kwako kutaimarka. Kanisa lako litakusaidia katika hili. Jazwa na Roho Mtakatifu. Muombe Mungu akujaze Roho Mtakatifu kila siku, na kuachilia kipawa chake kwako. Sura 5 za kwanza katika matendo zitakusaidia. Mwambie mtu yeyote mara nyingi uezavyo juu ya maombi yako leo, na jinsi Mungu alivokusamehe.
Sasa, jambo moja zaidi. Utanitumia barua pepe leo kupitia frostygrapes@oasiswm.org, na ukinieleza juu ya uamuzi wako wa kumfanya Yesu kuwa mfalme wa moyo wako. Inawezekana hujawahi kufanya hili nah ii ndo mara yako ya kwanza au labda unashangaa hukuwa Roho Mtakatifu lakini sasa umerudi nyumbani. Kwa jambo lolote ningelipenda kusikia kutoka kwako.